BurudaniHabari

RECAP: Rayvanny ana show tatu Uingereza, anafaya kwa mara ya kwanza

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia Show ya Rayvanny aliyoifanya Toronto nchini Canada.

Mbali hiyo pia amempongeza kwa kuwa na Show zingine tatu nchini Uingereza kuanzia tarehe 23 mpaka 25 katika miji mitatu tofauti.

@el_mando_tz pia amemtolea mfano Marioo ambapo ameeleza kuwa Mmoja ya Promota kutoka London ameweka wazi kuwa msanii Marioo anapa show sana lakini yeye anataja dau kubwa sana ndio sababu hafanyi show nje sio kama hapati.

Akitolea mfano huo pia amemahauri Marioo na wasanii wengi ili waweze kufungua milango nje ya mipaka ya Tanzania.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents